“Kama dhahabu ipitavyo katika moto, nina ng’arishwa kuwa bora.” Wimbo huu wa kiibada unakutia moyo kukumbuka kuwa ahadi …

39 COMMENTS

  1. Dhahabu – Lyrics

    SWAHILI VERSION
    Akisema atatimiza wewe muamini
    Akisema atajibu wewe muamini

    Katika mapito yote ni Mungu
    Kwenye uvuli wa mauti huniongoza
    Katika majira yote ni Mungu
    Niwapo kwenye majaribu hunishindia

    Kama dhahabu ipitavyo katika moto,
    nina ng'arishwa kuwa bora

    Siyo kwamba Mungu haoni,
    amekuchora mwake kiganjani.
    Siyo kwamba Mungu hajui,
    amelitunza agano lake na wewe.

    Kama dhahabu ipitavyo katika moto
    nina ng'arishwa

    ENGLISH VERSION

    When He says He will fulfill, believe in Him.
    When He says He will answer, believe in Him.

    In all circumstances, He is God.
    In the shadow of death, He guides me.
    Through all seasons, He is God.
    When I face trials, He gives me victory.

    Just as gold is purified in fire,
    I am being refined to become better.

    It's not that God does not see you,
    He has engraved you in His palm.
    It's not that God is unaware,
    He has kept His covenant with you.

    Just as gold is purified in fire,
    I am being refined.

  2. Dhahabu haiwi ya heshima pasipo kupitia katika moto Asante Neema Gospel choir.kila nyakati katika maisha yangu ni ya thamani na ya maana hata kama itakua ni ya maumivu makali pia hakuna chochote kigeni kwa Mungu Baba Yahweh nitasimama kwakua anajua yote ivyo njia atatoa njia moja wapo ni wimbo huu💪🙏😇

  3. Sio kwamba Mungu haoni,sio kwamba Mungu haoni amekuchora mwake kiganjani.
    Sio kwamba Mungu hajui,sio kwamba Mungu hajui amelitunza agano lake na wee😢😢😢😢😢Ahsante Mungu najua ipo siku ni muda tu haujawadia 😢😢kupitia wimbo huu basi Mungu namm nibariki mtoto

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here