Dhahabu haiwi ya heshima pasipo kupitia katika moto Asante Neema Gospel choir.kila nyakati katika maisha yangu ni ya thamani na ya maana hata kama itakua ni ya maumivu makali pia hakuna chochote kigeni kwa Mungu Baba Yahweh nitasimama kwakua anajua yote ivyo njia atatoa njia moja wapo ni wimbo huu๐ช๐๐
Sio kwamba Mungu haoni,sio kwamba Mungu haoni amekuchora mwake kiganjani. Sio kwamba Mungu hajui,sio kwamba Mungu hajui amelitunza agano lake na wee๐ข๐ข๐ข๐ข๐ขAhsante Mungu najua ipo siku ni muda tu haujawadia ๐ข๐ขkupitia wimbo huu basi Mungu namm nibariki mtoto
Tanzaniaaaaa๐๐๐๐๐๐ Much love from South Africa . I many not yet learnt Swahili but you guys are the best๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Dhahabu โ Lyrics
SWAHILI VERSION
Akisema atatimiza wewe muamini
Akisema atajibu wewe muamini
Katika mapito yote ni Mungu
Kwenye uvuli wa mauti huniongoza
Katika majira yote ni Mungu
Niwapo kwenye majaribu hunishindia
Kama dhahabu ipitavyo katika moto,
nina ng'arishwa kuwa bora
Siyo kwamba Mungu haoni,
amekuchora mwake kiganjani.
Siyo kwamba Mungu hajui,
amelitunza agano lake na wewe.
Kama dhahabu ipitavyo katika moto
nina ng'arishwa
ENGLISH VERSION
When He says He will fulfill, believe in Him.
When He says He will answer, believe in Him.
In all circumstances, He is God.
In the shadow of death, He guides me.
Through all seasons, He is God.
When I face trials, He gives me victory.
Just as gold is purified in fire,
I am being refined to become better.
It's not that God does not see you,
He has engraved you in His palm.
It's not that God is unaware,
He has kept His covenant with you.
Just as gold is purified in fire,
I am being refined.
Hata sasa niebenezaโฆ
the song is a blessing. i love the music arrangements
Yesu atukuzwe,naburudika ndani ya Yesu
Ameeen Ameen mungu Awenanyi Awatie nguvu katika uimbaji wenuu
Amen Amen Amen
Dhahabu haiwi ya heshima pasipo kupitia katika moto Asante Neema Gospel choir.kila nyakati katika maisha yangu ni ya thamani na ya maana hata kama itakua ni ya maumivu makali pia hakuna chochote kigeni kwa Mungu Baba Yahweh nitasimama kwakua anajua yote ivyo njia atatoa njia moja wapo ni wimbo huu๐ช๐๐
Nimebarikiwa
Hii ni kali sana jameni ๐๐
Huu wimbo nawashauri wote waliopata wachumba na wanataka kufunga ndoa naomba huu wimbo wautumie sana kua ni wimbo wa kuingilia kanisani au ukumbini
blessed song๐
Safi mno yaani kwa kweli mungu awatunze sana umoja huu aendelee kuwaimalisha.
Napata moyo mkuu,kule mbinguni tutaimba usiku na mchana
indeed he is faithful; for sometimes we do not know what to pray for ..but the spirit of God intercedes on our behalf๐ค๐ค
Ooooh hallelujah hallelujah ๐๐ sio kwamba Mungu haoni โฆ. Ooooh Asante Yesu nimebarikiwa sna mm nikama dhahabu โคlazima nipiteโฆ
Straight from tiktok
Sio kwamba Mungu haoni,sio kwamba Mungu haoni amekuchora mwake kiganjani.
Sio kwamba Mungu hajui,sio kwamba Mungu hajui amelitunza agano lake na wee๐ข๐ข๐ข๐ข๐ขAhsante Mungu najua ipo siku ni muda tu haujawadia ๐ข๐ขkupitia wimbo huu basi Mungu namm nibariki mtoto
Injili itahubiriwa tuuu ujumbe umefika watumishi wa Mungu nimependa sana nyimbo nzur sanaaaaa๐
Wonderful
Wenye tumetoka tiktok hadi hapa gon'ga like tukisonga ma cuzo
Wimbo munzurili sana
love from rwanda ๐๐๐๐๐
Hallelujah amen Amen
Tanzaniaaaaa๐๐๐๐๐๐ Much love from South Africa . I many not yet learnt Swahili but you guys are the best๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Muziki mzuri sana ๐๐ Napenda jinsi malaika wanavyoimba
The dancers๐๐๐
Katika mapito ni MUNGUโฆ Hakika unastahili MUNGU
Basist sina swala na ww โคโคโค
Nabarikiwa sana๐
โคโค
Ameen
AMEN
Amen ๐๐๐๐๐๐๐
Serikali ya Kenya yote ni magaidi wakiona askari anasaidia wanamshika wanamuwekelea kesi ya uongo,
Ameeen ๐
this is a great piece brethrenโฆmay God bless you
Akisema atatimiza wewe mwaminiโคโค
Kazi NZUR sanaaaaa hivi ndivyo watu hupaswa kumwimbia bwana
Only the Great God to praiseโคโคโค