My sister mercy na bwana yake wanitumie pesa zangu before huu mwezi wa 5 nipokee roho ya utajiri from my higher alter o lord bless me in Jesus mighty name l pray ameen
Pastor pray for me and ma family sina nyota akuna chenye nafanya ifanikiwe na watoto hawana kazi mume wangu apati any job yeye ni contractor muombee apate any contract in jesus name Amen
Wale wote wananiedea kwa mganga waweze kurudiwa na pia kile kinaturudisha nyuma na bwana nyuma kiweze kuisha in the mighty name of jesus, na kile chote kimepotea kirudi
Naommba my high Altar ya New Life Prayer Center And Church inipiganie vita za Kila roho za kishetani ndani mwangu ziniondokee nikombolewe nimfanyie kazi yake kikamilifu.
Mungu ni mzury sana mungu naitaji utajiri
Daddy am blessed nataka. Niongezewe mshahara in Jesus Christ amen
All glory be to God
My sister mercy na bwana yake wanitumie pesa zangu before huu mwezi wa 5 nipokee roho ya utajiri from my higher alter o lord bless me in Jesus mighty name l pray ameen
Ondoa mauti ndani Mungu wangu
Pray for me akudo Linda I got a white man but he doesn't col mi
nime barikiwa
kumbuka boma yangu pamoja na watoto
Mungu nikumbuke unapo kumbuka wengine
Asante yesu kwa kurdish hii nyota yangu leo leo leo leo leo leo leo in Jesus name Amen 🙏
God will never assemble His people in vain.
Pastor pray for me and ma family sina nyota akuna chenye nafanya ifanikiwe na watoto hawana kazi mume wangu apati any job yeye ni contractor muombee apate any contract in jesus name Amen
Yesu wetu naomba utusamehee dhambi zetu Mimi na mke wangu Happy robati kirilo ayo tuwe nyota kwa familia zetuuu in Jesus name 🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲
Naomba neema kubwa Kwa maisha yngu
Pastor niombee nasumbuliwa na blood pressure iko juu
Niombee pastor nasumbuliwa na blood pressure iko juu
Naomba Mungu aniponye ugonjwa niliokuwa nayo
Mungu nifungulie njia za kazi leo nipokee habari njema nitashukuru sana 🙏🙏🙏
mungu naomba mpe baba yangu nyota y ufanisi na umuondole umaskini na mpe pesa aweze kutulisha na kutusomesha amen
naomba Mungu baba yangu aweze kupata pesa na anitumie 😢 za kukula leo ii amen
May God remember me in Jesus name together with my family
Naomba Mungu aniajalie na nyota ya kazi na kibali leo hii in this crusade.
Yesu ni mzuri saana
Amen 🙏🙏🙏🙏
Pastor niombe katika maisha yangu yote nisiwahi date bwana ya mtu naomba Sana mungu qnibariki na mtu anipende TU venye nko katika jina la yesu amen
Mungu kupokea promotion ya pesa na kwa Kasi
Mungu nikumbuke niongezwe mshahara ii mwezi
Thanks for all God
Amen
Ameen
Wecome to malawi
Wale wote wananiedea kwa mganga waweze kurudiwa na pia kile kinaturudisha nyuma na bwana nyuma kiweze kuisha in the mighty name of jesus, na kile chote kimepotea kirudi
Naoba uniponye ugonjwa na na pia nipate nyota ya kufanikiwa na job na kwa maisha
Unikubukie mtoto wa sis yangu kugojeka now ad then na pesa za mabwana zetu zifunguliwe, khna barrier na delay
Yeeeesh😮💨 Amen amen amen.
Nipone kwa hii madhibahu na nipate kazi hii wiki kwa jina la yesu
Paster jilani yangu amekubali kuniuzia Samba but Sina pesa but I know God will provide ni saidie na maombi
Tuned dubai
Uwongo kelvin Bett Ako nayo mungu hii madhibau ivunge na nguvu za hii altr today
Naommba my high Altar ya New Life Prayer Center And Church inipiganie vita za Kila roho za kishetani ndani mwangu ziniondokee nikombolewe nimfanyie kazi yake kikamilifu.
Naomba pastor, uniombee roho ya madeni iniondokee
Namshukuru Mungu kunipatanisha na madhabahu hii.
Toeni sadaka Mungu anafanya
I connect myself, my children and family to this higher altar of Newlife this night in Jesus mighty name
Nipone titi na mgongo sasa hivi in Jesus mighty name
Kila mathipau ya uchawi, urogi, magonjwa, mauti, talaka, umaskini, madeni Oooooooout Oooooooout Oooooooout Oooooooout in Jesus mighty name