Kupitia ushuhuda huu unaona nguvu za Mungu hazihitaji visaidizi kama chumvi, mafuta ya nazi Neno la Mungu lina nguvu na …
3 COMMENTS
Shuhuda kama hizi zinajenga sana kiimani upako wa Ki Mungu hauhitaji visaidizi vya chumvi na mafuta ya maweze injili za leo uongo uongo sarakasi nyingi sana.
Ni kweli, Reinhard bonke muhubiri wa kimataifa,alitumia damu ya yesu tu ,viwete,vipofu,magonjwa mbali mbali watu kuponywa,na kufufua watu pia,kwa Sasa amelidhisha Daniel kolenda afate nyao zake Reinhard bonke atafika salama

ushuhuda mzuri sana