Umenipendelea #VyoteNilivyonavyo #Gospel #New #Shukrani #2025 Huu wimbo unaelezea jinsi gani Mungu Amekuwa mwema …

38 COMMENTS

  1. Nilikua nikisoma comments za watu.. nimejikuta nikilia, kwenye haya maisha kalibia Kila mmoja wetu Mungu humpa nafasi ya upendeleo. Hata Mimi, MUNGU AMENIPENDELEA JAPO SIKUSITAHILI❤… upendo wa Mungu ningum kuuelezea kibinadam.

    Tuendelee kumtumaini yeye hatakama tunapitia wakati mgum kiasi Gani, wakati wetu wafuraha upo🙏🙏

  2. hakika Mungu utabaki kuwa Mungu, naogoja neema na mapendeleo yako katika biashara yangu, niweze kupata kazi na pia familia yangu ipate amani ikaweze kuwa na matumaini kwangu nami nikawe baraka kwao….ewe Mungu nipendelee kwa kuwa upo na nakutumainia

  3. Nimependelewa zaidi sana, mwaka wa 2006 nilikuwa bado binti mudogo niliumwa sana nikafanyiwa upasuwaji wa fièvre typhoïde pa Burundi hali yangu ilikuwa mbaya zaidi watu walisema sitazaa wengine walisema kuzaa kwangu itakuwa tuu kwa njiya ya upasuwaji sababu upasuwaji niliofanyiwa ulikuwa wakutisha sana,lakini nakutangaziya kwa sasa nina watoto wa 5 na sijawahi pita kwenye upasuwaji kila mara nikichukuwa ujauzito napitiya mazito wa daktari wanasema aita wezekana lakini Mungu anaendeleya kunipendeleya zaidi na zaidi,
    Ndugu zangu tubaki ndani ya Yesu Christo tutazidi kupendelewa siku zote,
    Ubarikiwe zaidi mahali popote ulipo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here