Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay …

46 COMMENTS

  1. Kupitia madhabahu hii nahitaji wateja kwenye biashara yangu,pia Mungu aifute aibu ya kudhalilishwa leo kwenye ofisi yangu na mtu niliyemsaidia mwenyewe kwa lengo aache pombe,sigara na bangi..Aje kesho aniombe msamaha mbele ya watu alionidhalilisha.Aje akiwa na akili zake timamu

  2. Mungu usiku wa leo kupitia haya madhabahu mungu niregeshee ndoa yangu mpango wa kando Jane ogoya popote aliko mungu awachane na mume wangu Alfred katika jina la yesu kupitia sacrifice na maombi k

  3. Doa tuaenda kwa jina la yesuπŸ™πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘βœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈ

  4. Mungu nisaidie juu ya kazi yangu badilisha chochote kilichofanyika kwangu kwa namna ambayo siyo sahihi na nikaambiwa niache kazi Mungu nisaidie Mungu wa pastor Ezekiel tenda kitu kwenye maisha yangu hujawai kuniacha

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here