Nyimbo za tenzi au kitabuni zinatakiwa kuimbwa hivi bila mbwembwe wala madoido yoyote kama hivi. Wimbo mtamu umejaa upako. Ila kuna nyimbo zingine za tenzi mmeimba vibaya kwasababu mlileta mbwembwe nyingi. Mungu awasaidie kutulia kama hivi kwenye nyimbo za tenzi au za kitabuni. Nyimbo ya tenzi nyingine mmeanza na amapiano jamani jamani Mungu awasaidie msirudie.
Sauti nzur, wimbo mzur, waooh Mungu awabariki sana,โค hakika huduma yenu ni jema sana
Nabarikiwa sana jmn na huu Wimbo wa tenz za rohon
Nimebarikiwa sanaa
Jastine Asifiwe Moses Bliss wa Tanzania โ Damu ya Bwana Yesu iyalinde na kuyatunza mafuta haya kwa Sifa na Utukufu wake.
Huduma ya neema gospel inanibariki saana yaani.Mungu aenderee kuwapa maono.
Unaweza Yesu
My RHEMA Song, ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐ฐ๐ช๐ฐ๐ช๐ฅ, Kwako BWANA NAONA KIZIMA Cha UZIMA, EeBWANA YAFICHE MATUMAINI YANGU ubafuni mwakoโค๐
Amen iyiwimbo imenibaliki๐๐
I love you so much neema gospel
I love you so much neema gospel
Huu wimbo hunibariki sana jameniโฆ.
The bass guitarist!!!! He)she delivered ๐๐๐ eiiii
Yesu unipendaye ,kwako nakimbilia wewe ndiye unayenielewa na unayejua niyapitiayo ,yesu makuu yako naomba yatendeke ๐ฅน๐
Amen ๐โค๏ธ
Who is here December 2026๐ say khiii
Nimeupenda sn huu wimbo mung awabariki
NEEMA gospel choir Mungu anawatumia sanaa Kwa kipindi hizi Asante Kwa kukubali kutumiwa na Mungu ๐ binafsi mnanibariki mno
Blessed๐
Thanks Lord
this song really blessed me a lot
Mungu naomba nipe mchumba sahihi maana wwe unaweza kutenda
Kwako ubavuni nikae bwanaโคโค
Unaweza kufanya&kutenda mambo makubwa BWANA
Aminaaaa
Nyimbo za tenzi au kitabuni zinatakiwa kuimbwa hivi bila mbwembwe wala madoido yoyote kama hivi. Wimbo mtamu umejaa upako. Ila kuna nyimbo zingine za tenzi mmeimba vibaya kwasababu mlileta mbwembwe nyingi. Mungu awasaidie kutulia kama hivi kwenye nyimbo za tenzi au za kitabuni. Nyimbo ya tenzi nyingine mmeanza na amapiano jamani jamani Mungu awasaidie msirudie.
August 4.2026๐ฅฐ๐ฅฐ
Naomba Mungu awapandishe tena levo nyingine ๐ข๐ข
Ni wewe utoshaye mwovu akinijia
Wa Tz tunajua sana
zaidi ya tuombavyo na zaidi ya tuwazavyo unaweza kufanya unaweza YESUUU
Jastine God bless you..
Barikiwa watu wa mungu
Mlivoimba jaman huu wimbo nausikilizaga hata siuchoki yani kikiitaji niwe wa rohoni muda wowote nikisikiliza tu tayari yani mmeimba vizur sana
My favourite ever โค
Who is here August 9th 2026 ๐๐
Cjui hata la kusema likatoshea ila MUNGU ATUKUZE UTAZANI NIKO UKO MBINGUNI NA MM NIKO MBELE ZA MUNGU KABISA
Yesu unipendaye kwako nakimbilia๐๐คฒ
kwako nakimbilia BWANA sina kwakwenda BABA unakila kitu ninachohitaji.Asante ROHO MTAKATIFU wa MUNGU BABA kwa kwakuwa mwaminifu kwangu.
Who is here on 11/08/2026 mid night
Nilikuwa nafikiri capacity kiongozi wewe,,,,duh nimebaki nawaza hiyo capacity,..Mungu naomba sehemu ya sauti yake
Au AI , hapana, ni Mungu wa uweza ndani yake! Alleluya
Nmebarikiwa sana ๐๐
Nabarikiwa n huu wimbooo
I am here today August 14, 2026. I am marking what God has promised to me. ANATENDA. Tumlilie tu.
Nabarikiwa Sana Moyoni Mwangu NA Huu WIMBO
Yesu unipendae
โค