(Skiza code 7396151) God promises never to leave us nor forsake us in life. As individuals, families, nations and as the Church of …

45 COMMENTS

  1. This always uplifts me alot. The events of May,2015 are still fresh in my mind. I got lost in a bandit-infested jungle in Turkana County while at work. I was found after two days without food or water. Thumbs up if you know God cares.

  2. Lyrics

    Umeahidi wewe Bwana huniachi
    Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
    Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote(hubadiliki)
    Mimi naiweka Imani kwako baba

    Nipitiapo maji mengi au moto huniachi
    Unalijua jina langu ewe bwana huniachi
    Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
    Wewe ndiwe alpha na omega huniachi

    Umeahidi wewe Bwana huniachi
    Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
    Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
    Mimi naiweka imani kwako baba

    Uliwalinda wana Israeli kule Jangwani
    Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba
    Wewe huwainua na wanyonge siku zote
    Watuepusha na hatari kila siku usifiwe

    Umeahidi wewe Bwana huniachi
    Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
    Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
    Mimi naiweka imani yangu kwako baba

    Baba hata mama wanaweza kunikana
    Marafiki nao wanaweza nigeuka
    Mara kwa mara maadui wanizunguka
    Nitaishi kwa ahadi yako bwana, huniachi huniachi

    Umeahidi wewe Bwana huniachi
    Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
    Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote
    Mimi naiweka Imani kwako baba

    Umeahidi wewe Bwana huniachi
    Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
    Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote(hubadiliki)
    Mimi naiweka Imani kwako baba

  3. Wakati nimekaa ofisin ghafla huu wimbo ukaja kwenye kinywa changu muda saa nane siku ya leo 24/06 Najiuliza kwa nini roho mtakatifu amenipa huu wimbo huu miaka saba iliyopita ndio ulitoka halafu leo naukumbuka huu wimbo. ASANTE YEHOVA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here