Thanks for Supporting Newlife Prayer Centre & Church Remember to Click the SUBSCRIBE BUTTON and Hit the Bell icon to stay …
39 COMMENTS
Yesu kupitia hii madhabahu najiunganisha mm na Eddy mahali alipo akose amani aniwaze mm tuu kwa akili yake namtenganisha na wanawake wote mm ndio mke wake
I connect myself through the today's sacrifice,,,,my family,thank you God for the gift of half-term,,as l embark today back in world hope protect us together with our work
Ee Mungu niunganishe na madhabau yangu.Nisamehe mbaya yote.Bariki KAZI yangu.Bariki Family yangu.Bariki project ya nyumba yangu.Bariki tenants walipe rents on time Bariki Bosses wangu.Nakemea maroho chafu.Fungu Mlingo ya pesa Amen
Mwenyezi mungu nakushukuru kupitia haya madhambao juu baba mtoi wangu kelvin ngove muthoka amelipia mtoto wake school fees kidogo mungu msaindie aendelee kumsaindia
Kupitia haya madhambao ya pastor Ezekiel mwenyezi mungu nakuomba usaindie baba mtoi wangu kelvin ngove muthoka apate kazi na akipata anikumbuke mimi n mtoi wake asaindie huyu mtoto wake
Kupitia hii prophetic sacrifice navunja roho ya umalaya, roho ya uongo, roho ya roho mbaya, kupenda penda wasichana, kufanya ngono n wamama. Mungu saindia baba mtoi wangu abandilike
Mungu kutoka Leo nakosesha mueni amani akienda kwa mgaga ndio akoroge baba mtoi wangu akili hizo dawa zisifanye kazi navunja hayo mahusiano yake n baba mtoi wangu
Mungu niondolee roho wa magonjwa n unipee roho ya uzima n afya kwa jina lako, nyota yangu ing'ae n ufanisi ukawe juu yangu amina, naamin itakua kwa utukufu wako amina
Yesu kupitia hii madhabahu najiunganisha mm na Eddy mahali alipo akose amani aniwaze mm tuu kwa akili yake namtenganisha na wanawake wote mm ndio mke wake
Nawaunganisha watoto wangu. Kwa madhabahu hii. Kwa masomo yao wapate alama AAAA AA AAAAA kila mtihani watakao Fanya
Yesu hii wk isiihe yusufu aende atengeneze block kwa nyumba yangu
Kupitia kwa hii tithe nifungulie njia za makazi
Thank you so much for today God
I connect myself through the today's sacrifice,,,,my family,thank you God for the gift of half-term,,as l embark today back in world hope protect us together with our work
Mko which site in eldoret
Naomba kjpitia hii madhabao unifungue na unifungulie milango zote zi
Yesu bariki kazi ya mikono yangu kupitia hayo madhabahu ya eldoret,babangu aweze kutembea,
God remember me to day watu wanapo pokea meza ya Bwana hata na mm nipokee na unifungulie njia na unikomboe
Naomba unifungue pamoja na familia yangu katika jina lake takatifu
Amiin
Kupitia mathabao hii ya new life naomba nyota ya kazi na yenye kungaa
Ee Mungu niunganishe na madhabau yangu.Nisamehe mbaya yote.Bariki KAZI yangu.Bariki Family yangu.Bariki project ya nyumba yangu.Bariki tenants walipe rents on time Bariki Bosses wangu.Nakemea maroho chafu.Fungu Mlingo ya pesa Amen
Pastor niombee biashara yangu ya chakula na nguo Mungu anipe nyota na aachilie custumer kwa jina la yesu
Mungu anifungulie wateja hii chakula iishe kwa jina la yesu
Remember me today God
Philippians 2:19
Glory be to God 🙏 plaster Peter God is taking u far
Pstr uniompee me from nikuje kitale nimepikwa vita san,, kwanza nko ndo ingine yenye tujishuku tw pray for us,,and my family
May God open my ways, financial breakthrough
Na roho ya mauti iniachilie na familia yangu yote tukombolewe tuwe na uhai tena
I connect my sister Janet to this higher alter in Jesus name
Amen 🙌🙏
Mwenyezi mungu nakushukuru kupitia haya madhambao juu baba mtoi wangu kelvin ngove muthoka amelipia mtoto wake school fees kidogo mungu msaindie aendelee kumsaindia
Kupitia haya madhambao ya pastor Ezekiel mwenyezi mungu nakuomba usaindie baba mtoi wangu kelvin ngove muthoka apate kazi na akipata anikumbuke mimi n mtoi wake asaindie huyu mtoto wake
Mwenyezi mungu kupitia haya madhambao naomba kelvin ngove muthoka akipata kazi pia anichukue anioe n tukae pamoja
Kupitia hii prophetic sacrifice navunja roho ya umalaya, roho ya uongo, roho ya roho mbaya, kupenda penda wasichana, kufanya ngono n wamama. Mungu saindia baba mtoi wangu abandilike
Mungu kutoka Leo nakosesha mueni amani akienda kwa mgaga ndio akoroge baba mtoi wangu akili hizo dawa zisifanye kazi navunja hayo mahusiano yake n baba mtoi wangu
Mm Catherine mwende ndonye najicconnect n baba mtoi wangu kelvin ngove muthoka tuoae kama n kupeda kwa mwenyezi mungu
Mungu babake mtoi wangu kelvin ngove muthoka kutoka Leo asaindie huyu mtoto wake na pia ampende kutoka Leo anitumie pesa za matumizi yangu n mtoi wake
Kupitia hii pesa kutoka kwa mkono wake haanze kusaindia mtoto wake na pia mungu msaindie hasiwahi Fanya mapenzi n mwanamke mwingine anipendw mm pekee
Mungu kupitia haya madhambao naomba kelvin ngove muthoka anioe
Naomba mungu wa haya madhibau ilinde kazi,ndoa,pesa ,wazazi na mtoto wangu Eunice popote alipo na anitafute kwa jina la yesu kristo
Sadaka yangu itetee mtoto junior popote alipo apatite na haki intended Mungu wangu
Mungu tuondolee aibu na mahangaiko tuone mkono wako usituache ee bwana mtoto junior apatikane na haki intended Victor amrudishe
Mungu niondolee roho wa magonjwa n unipee roho ya uzima n afya kwa jina lako, nyota yangu ing'ae n ufanisi ukawe juu yangu amina, naamin itakua kwa utukufu wako amina
Dickson ayodi mungu naomba awache pombe
Naomba nyota ya masomo Kwa watoto wangu na mimi