Mungu abadilishe Mumee wangu na watoto na mimi anibadilishe abadilishe ndoa yangu abadilishe maisha yangu abadilishe uchumi wangu na abadilishe masomo ya watoto
Bwana Yesu nakushukuru kwa chochote ulionitendea EE Yesu wangu, naomba kupitia kwa hii Madhabau ya New life holly communion roho ya rejection iondoke, roho ya madeni iondoke na roho ya talaka iondoke ,biashara ya mtoto wangu Naomi ya bag na ya mla inawiri kupitia kwa hii Madhabau ya Newlife,naomba Naomi apate pesa ya shofco na biashara wiri na awe above only kwa biashara na matoleo na Bwana naomba huyu mtoto wangu umungeuze awe wa hii Madhabau ya Newlife in Jesus mighty name ipray and believe Aaaaaaaaaamen
Mungu Naomba watoto wangu wapate nyota ya masomo na wafanikiwe maishani wawe manufaa kwao wenyewe na kwetu wazazi katika jina la yesu christo wa Nazareti
Mungu Naomba yangu apate roho wa ufanisi na apokee uponyanji shinda ya macho na aishi miaka mingi yenye baraka na mafanikio katika jina la yesu christo wa Nazareti
Mungu kwanza naomba msamahaa yesu unisamehee.Mungu wangu naomba kazi nzuri maisha yangu mungu ya change, roho ya umasikini huondoe kwangu na nyota yangu irejeshwe amenππ
Niombee Fosroc and flamingo casino quote zikue approved. Asanti kwa urejesho wa gari yangu. Fanikisha ikue perfect kabisa na Greyram cooling ltd ipate kazi mingi na tuendelee kufanya kazi na smart printers ltd na ninunue shamba huu mwaka in Jesus name.
Muombee mume wangu ni mgonjwa ana hiccups hajalala siku ya tatu mponye mungu amuondolee hata matatizo ya kifua na pia Kuna mtu anandai ameahidi kesho atamlipa basi Fanya miujiza yote yatimiye sifa na utukufu nitamregeshe ya mungu wetu ambaye anajibu kilio changu
Mungu kupitia tithes yangu katika huu matabau, Yesu naomba huinue biashara yangu katika jina la Yesu kristo Amen
Kupitia madhabahu haya ndoa yangu na Dada yangu Elsie ikarudi katika jina la yesu.roho ya talaka ikaondoke.
Ameeen
Ameeen
Eeeee Yesu naomba anipe roho ya ufanisa na Mume wangu roho ya ndoa naomba pia Mungu atuondoleye roho mauti
Mungu abadilishe Mumee wangu na watoto na mimi anibadilishe abadilishe ndoa yangu abadilishe maisha yangu abadilishe uchumi wangu na abadilishe masomo ya watoto
Abadilishe roho ya Mume mimi watoto Abadilishe roho
Mungu wape watoto wangu roho ya ufanisi kwa masomo Yao.fungua njia za fedha wapate Karo ya shule.
Ameeen Ameeen
Mungu ni kumbuke
AMEEEEEEEEEEΓN
Yes yes yes yes yes yes yes yes yes yes
Amen
Bwana Yesu nakushukuru kwa chochote ulionitendea EE Yesu wangu, naomba kupitia kwa hii Madhabau ya New life holly communion roho ya rejection iondoke, roho ya madeni iondoke na roho ya talaka iondoke ,biashara ya mtoto wangu Naomi ya bag na ya mla inawiri kupitia kwa hii Madhabau ya Newlife,naomba Naomi apate pesa ya shofco na biashara wiri na awe above only kwa biashara na matoleo na Bwana naomba huyu mtoto wangu umungeuze awe wa hii Madhabau ya Newlife in Jesus mighty name ipray and believe Aaaaaaaaaamen
Joram, naomba nyota na kibali in Jesus name,na ndoto mbaya kupitia haya madhabau zinikome,
Kupitia hii madhabau Let me being star in my job God and heal my brother in Jesus name
Mungu Naomba hakutakua na vivo vya mapema in both k family members and g family members in the name of Jesus Christ of Nazareth
Mungu Naomba watoto wangu wapate nyota ya masomo na wafanikiwe maishani wawe manufaa kwao wenyewe na kwetu wazazi katika jina la yesu christo wa Nazareti
Mungu Naomba brother yangu apokee uponyanji aishi miaka mingi yenye mafanikio katika jina la yesu christo wa Nazareti
Mungu Naomba yangu apate roho wa ufanisi na apokee uponyanji shinda ya macho na aishi miaka mingi yenye baraka na mafanikio katika jina la yesu christo wa Nazareti
Mungu Naomba mama yangu apokee uponyanji na aishi miaka mingi yenye baraka na mafanikio katika jina la yesu christo wa Nazareti
no situation is permanent change me now
NINAOMBA nyota baba
Watoto wangu wapate nyote ya masomo
Lord I pray for financial breakthrough in my life and that of my family in the name of Jesus Christ of Nazareth
Niondolee roho na tabia za kiuzinzi nipee roho mpya
Mungu kwanza naomba msamahaa yesu unisamehee.Mungu wangu naomba kazi nzuri maisha yangu mungu ya change, roho ya umasikini huondoe kwangu na nyota yangu irejeshwe amenππ
Yesu we ni gao yangu kwa magonwa,,,,,,yesu niponye
Niombee Fosroc and flamingo casino quote zikue approved. Asanti kwa urejesho wa gari yangu. Fanikisha ikue perfect kabisa na Greyram cooling ltd ipate kazi mingi na tuendelee kufanya kazi na smart printers ltd na ninunue shamba huu mwaka in Jesus name.
Muombee mume wangu ni mgonjwa ana hiccups hajalala siku ya tatu mponye mungu amuondolee hata matatizo ya kifua na pia Kuna mtu anandai ameahidi kesho atamlipa basi Fanya miujiza yote yatimiye sifa na utukufu nitamregeshe ya mungu wetu ambaye anajibu kilio changu
Niombee mume wangu apate usingizi maana miguu imefura anashindwa hata kulala

O'lord through this prayer stand with me i start my own business again through your name Jesus Christ amen