Christopher Mwahangila #255716620000 +255756068844 #Subscribe Produced By Ayubu Directed By Elijah D ED Media.
45 COMMENTS
Glory to GOD , uyu wimbe ni ROHO wa MUNGU kakufunulia , BWANA YESU KRISTO atukuzwe kwa kazi nzuri hii . MUNGU azidi kuhudumu pamoja na Wewe , uzidi kua baraka katika kuujenga mwili wa KRISTO .
Nyimbo zako zimenibariki sana ..Nilikuwa depressed wakati fulani hadi nikachukiwa na watu wa karibu na mimi ..Nilikuwa naskiza nyimbo zako zinanitia nguvu hadi sahii nimebarikiwa nashukuru Mungu sana …Be blessed the Man of God..
Hongera tena Christopher Muhangilwa. Nyimbo zako zimeendelea kuwa baraka kwetu. Tangu tulivyo kualika hapa Goma, tunakukumbuka sana. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Glory to GOD , uyu wimbe ni ROHO wa MUNGU kakufunulia , BWANA YESU KRISTO atukuzwe kwa kazi nzuri hii .
MUNGU azidi kuhudumu pamoja na Wewe , uzidi kua baraka katika kuujenga mwili wa KRISTO .
Nipe nguvu ya kuvuka mungu wangu 🤲😿
I like it bcz your songs is very nice
Ameni
Ameeen, God bless you servant of God 🙏
Kazi zako mzuri amini🎉
🎉🎉🎉merci
Touching One, Baraka Tele
Simama naming baba bilateral wewe siwezi Amen powerful song be blessed 🙌
Halleluya
Alléluia 🙏
Nikimuona nitashukuru kwa kuendelea kunipa familia yenye furaha, amani na upendo 📖🙏 pia kuniwezesha kukutana na familia yangu pamoja 🇺🇸
❤❤❤
Nimeonjavhaya yote katita maisha yangu. Bila Mungu kama sipo. Njo maana notamwita Katika hali yote sababu bila Mungu mimi sipo.
Nyimbo zako zimenibariki sana ..Nilikuwa depressed wakati fulani hadi nikachukiwa na watu wa karibu na mimi ..Nilikuwa naskiza nyimbo zako zinanitia nguvu hadi sahii nimebarikiwa nashukuru Mungu sana …Be blessed the Man of God..
Aman 🎉🎉🎉
simama nami Baba, simama my favorite song, God bless you.❤
Amen 🙌🙌🙌🙌
Am leaving my comment here hopping to come back with a testimony soon🎉
Hongera tena Christopher Muhangilwa.
Nyimbo zako zimeendelea kuwa baraka kwetu.
Tangu tulivyo kualika hapa Goma, tunakukumbuka sana.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Mwenyezi mungu simama namii
ninakutgemea baba simama nami baba
Simama NAMI
Glory to God 🙏🙏🙏🙏🙏 Asante Mungu mungu wangu
Amen
Mungu simama nami
Simama na mimi na familia yang baba asante kwa kunirejeshea afya yang yesuuu
Thanks 🙏🙏
Uko sawa,,you are really a blessing to me,,,may u go far in Jesus Name
Simama nami ee bwana,,,,nakungoja baba
I don,t understand kiswahili but I love very much the songs of this man . Good bless him
Simama na mm mungu bila wewe mimi sio kitu hongera saana mtumishi wa mungu Christopher kwa wimbo mzuri saana
Mubarikiwe
Wengine hudhani kwa Nguvu zao wanashinda lakini sisi tunasema ni wewe bwana Mungu wetu,Asanten sana kwa wimbo mzuri
❤
Life is not easy for real let God alone stand by our side
Amen amen
Wimbo mzur sana..
Mungu Anaweza Atatuponya AMEN 🙏🙏🙏
Powerful
This is my song the situation is hurting God be with me 🙏🙏🙏
Amina
For sure let us leave the battle for the Lord amen 🙏
Ndiyo sana
Ndagukunda